Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts

Saturday

0 comments
Simba inaonekana kama imekwama kumsajili beki Asante Kwasi. Taarifa zinasema, Simba imegundua Kwasi ana mkataba wa mie...

Thursday

0 comments
Baada ya simba  kufanya usajili Wa wachezaji watatu wakigeni  Huenda kikosi cha miamba hiyo ya Tanzania kikafanyiwa marekebisho kias...

0 comments
Na Mwandishi Wetu, DAR SIMBA SC imesajili wachezaji watatu wapya wa kigeni, beki Mghana Asante Kwasi, kiungo mshambuliaji Mzambia Jo...

0 comments
  Yanga wao wameamua kufanya mambo yao kimyakimya wakijiandaa na mechi ya Jumamosi. Sasa hawana wanachoweza kulaumu maana ...

Saturday

0 comments
Kocha msaidizi wa Timu ya Azam Idd Seleman Cheche amesema kuwa wapo tayari kuwavaa 'wajelajela' Tanzania Prisons watakapokut...

0 comments
KIKOSI cha Simba,  Alhamisi kilijitanua kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi...

Thursday

0 comments
Mwenyekiti wa Kamtai ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametoa zawadi ya gari kwa mchezaji wa Simba, Said Hamis Ndemla. Hans P...

Saturday

0 comments
  Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Saa 72) iliyokutana Januari 4, 2018 imejadili mechi mbalimbali za Ligi Kuu (VPL) Daraja ...

Friday

0 comments
  Ile droo ya 32 Bora za mashindano ya Azam Sports Federation Cup imefanyika leo Ijumaa, Januari 5, 2017 ambapo makundi hayo ya...

0 comments
Timu ya soka ya Singida United imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya mapinduzi Cup inayoendelea huko Unguj...

Thursday

0 comments
Michuano ya Kombe la Mapinduzi itaendelea Alhamisi ya Januari 04 2018 kwa michezo mitatu kufanyika kwenye uwanja wa Amaan Visiwani Za...

Tuesday

0 comments
Kocha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Dokta Mshindo Msolwa, ameitabiria Timu ya Azam kuwa na nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa ...

Monday

0 comments
  Mlinzi wa pembeni wa klabu ya Simba Sports Club Shomari Kapombe amesafiri na timu kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya michuano...

Saturday

0 comments
Kocha Mrundi Masoud Djuma amefanya mabadiliko makubwa katika kikosi cha Simba SC ambacho kitacheza na Ndanda FC katika muendelezo wa l...

Friday

0 comments
Kikosi cha timu ya soka ya Kagera Sugar ‘Wanankurukumbi’ kimewasili jijini Mbeya tayari kabisa kufanya maandalizi mepesi kuelekea mche...

0 comments
  Raundi ya 12 ya ligi kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa mwaka 2017/18 inatarajiwa kuanza Ijumaa ya Disemba 29, ambapo mabingwa ma...

Thursday

0 comments
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu soka Tanzania Bara, Dar Young Africans watawakosa wachezaji wao muhimu katika mchezo wa ligi dhi...

Wednesday

0 comments
Wachezaji wa timu ya Simba. KOCHA wa Simba, Masoud Djuma amesema kuwa kutokana na mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi raia wa Uganda kuto...

Tuesday

0 comments
Kocha mzoefu na ambaye aliwahi kuichezea timu ya soka ya Simba Sports Club Madaraka Bendela amesema timu hiyo imefanya haraka kuachana n...

Monday

0 comments
Kocha aliyekabidhiwa majukumu mazito ya kukinoa kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club, Mrundi Masoud Djuma amesema mipango ...