Uzuri
wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira
bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia
ucku mwema
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°
Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daima
atakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°
Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daima
atakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.
°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°
Upendo ni tiba maradhi hukimbia.
Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia.
Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema
•·.·°¯
Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema!
•·.·°¯
·.·•*•·.·°¯
·.·•Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema!
•·.·°¯
·.·•*•·.·°¯
·.·•ni usiku tulivu wenye hali ya hewa
saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za
binadamu katika ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na
makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa
wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa
leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho usirudie,lakini pia
jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi
usiyoijua.usiku mwema
•·.·°¯
lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi zako.usiku mwema
•·.·°¯
·.·•*•·.·°¯
·.·•lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi zako.usiku mwema
•·.·°¯
·.·•*•·.·°¯
·.·•Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya
huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi
za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!!