Sunday

UDHANILIZO NININI

0 comments
Udhanilizo ni mtazamo wa kimaana katika Pragmatiki ambapo mzungumzaji huchukulia kwamba
msikilizaji anafahamu taarifa fulani za awali kuhusu jambo linalozungumzwa kabla hujamweleza
taarifa mpya. Kwa mfano;-
o Siku hizi mumeo kaacha kunywa pombe
o Leo umechelewa na wewe
o Mtoto amepiga chafya tena
o Ameacha kuvuta bangi?
Sifa za udhanilizo
 Haubadiliki hata pale sentensi msingi inapokanushwa. Kwa mfano Seni ameingia darasani
au Seni hakuingia darasani
 Haubadiliki hata pale sentensi msingi inapobadilishwa.
 Unaweza kubadilika kutokana na uchopekaji, udondoshaji na hata upanguaji

No comments:

Post a Comment