Wednesday

HII NISIMBA YA YA KARNE WAARABU HAWANA AMANI TENA

0 comments

Baada ya simba  kufanya usajili Wa wachezaji watatu wakigeni 
Ile simba ya wakati ule iliyo tishia amani ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla nikama inarejea kwani wamejipanga kiukweli nikimaanisha ipo kamili kila idara kuanzia mchezaji anayeanza kikosi chakwanza hata aliyeko benchi. kwa kikosi hicho  itazibidi timu pinzani kujipanga kisaikolojia kulingana na Aina ya wachezaji waliopo simba kwani hakuna mchezaji mwenye afadhali katika kikosi hicho

KIKOSI CHA SIMBA KINAWEZA KUWA HIVI


1:manula
2:nyoni
3:zimbwe jr
4:kwasi
5-kotei
6:mkude
7:shiza
8niyonzima
9:domingos
10:okwi
11:mo ibrahim

SUB
mseja,ally shomar,mwambeleko,mzamiru,boko,sakuwaha,juuko,mlipili,luizio,bukaba

asante kwakusoma MASSHELE blog