Wednesday

BREAKING NEWS WATU 11 WAFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE ARUSHA

0 comments

Ndege ya Shirika la Coastal Aviation imeanguka na inasadikiwa watu 11 wamefariki.

Ndege imegonga mlima huko Empakai Ngorongoro ikielekea Serengeti, imeua abiria 11 akiwemo rubani mmoja, hii ni ndege ya pili kwa kampuni hiyo kuanguka ndani kipindi cha miezi miwili.

Ndege ya kwanza aina ya Cessna Grand Caravan 5-THR, ilianguka oktoba 25 2017.

Inasadikiwa waliokuwepo katika ndege hiyo ni Simeone Kombe, Nasibu Mfinanga, Gift Lema,Shatri Mfinanga na Mfalala Siyabonga