Baada ya kuachiwa na Polisi kwa dhamana November 14, Dr. Luis Shika ambae aliingia matatani wiki iliyopita kwa kuvuruga mnada ambako alijinadi kununua nyumba za Bilioni 2 alafu akakutwa hana kitu mfukoni, ameongea marefu.
Kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na Dr. Luis ameelezea historia yake kwa ufupi toka alipokwenda nchini Urusi mwaka 1984 na kueleza jinsi alivyotekwa na watu wasiojulikana… ameeleza kila kitu kwenye hii video hapa chini.
VIDEO KWA HISANI YA AYO TV MASSHELE BLOG