Wednesday

Past papers za mitihani ya Kiswahili Darasa la saba

0 comments

 


SoMo la kiswahili kwa Darasa la saba Ni miongoni mwa masomo yanayetahiniwa mwanafunzi wakati wa kumaliza elimu ya msingi, nchini ambayo hufanyika kila mwezi wa 9 kwa kila mwaka. Past papers za SoMo la Kiswahili zinalenga kumwandaa mtoto (mwanafunzi wa Darasa la saba) katika kukabiliana na mtihani wa kiswahili wa kuhitimu darasa la saba na kufanya vyema katika mitihani yake hiyo

Table of contents (Yaliyomo)

Mitihani ya Kiswahili Darasa la 7 (standard seven kiswahili subject past papers)

Jinsi ya kufanya mitihani ya kiswahili Darasa la saba

Je Kuna umuhimu wa kusoma past papers za Kiswahili Darasa la saba?

Mitihani ya Kiswahili Darasa la 7 (standard seven kiswahili subject past papers)

Past papers zote za Kiswahili darasa la 7 kwa miaka kadhaa zinaoatikana katika tovuti hii na unaweza kuzinunua kwa Bei rahisi Sana na zikamsaidia mwanao (mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya Darasa la saba. Mitihani hiyo inakusudia kumwandaa mwanafunzi kuwa mahiri katika kujibu maswali mbalimbali ya Darasa la 7 Kama vile maswali yanayohusu, nahau, vitendawili, methali, ufahamu,  shairi na kadhalika. Bofya kiungo Hiki faulunasi.com kupakua past papers za SoMo la kiswahili Darasa la saba

Jinsi ya kufanya maswali ya past papers za Kiswahili Darasa la saba 

Mwanafunzi anaweza kufanya maswali yanayopatikana katika past papers za Kiswahili Darasa la saba yanayopatikana katika tovuti hii (faulunasi.com) kwa usimamizi wa mwalimu au mzazi, anaweza kufanya maswali mengi kwa kadri awezavyo ili umjegee uzoefu wa kufanya maswali ya mitihani kwa uharaka na kuzidi kuboresha uwezo wake wa kufikiria.

Umuhimu wa kufanya maswali ya past papers za Kiswahili Darasa la saba

Nikweli kuwa Kuna umuhimu mkubwa wa kumjengea mwanafunzi tabia ya kufanya maswali ya mitihani iliyoko katika past papers (mitihani ya miaka iliyopita) zifuatazo Ni faida anazoweza kupata mtoto (mwanafunzi wa Darasa la saba kwa kufanya maswali mengi ya past papers za Kiswahili Mara kwa Mara) 

  Mitihani ya past papers za Kiswahili itamjengea mwanafunzi kujianini na kumuondolea hofu ya mitihani hivyo kuchochea kufaulu kwake kwa kiwango Cha juuu zaidi

Past papers za Kiswahili zitasaidia mwanafunzi kuweza kutambua namna Bora za kujibu maswali ya Kiswahili Darasa la saba Kama vile maswali ya husuyo ufahamu,   barua, maswali ya nahau, methali, na kadhalika

Kufanya maswali mengi yaliyomo katika past papers za Kiswahili yatasaidia kuongeza spidi ya kufanya maswali mengi kwa uharaka  na hivyo kumuandaa mwanafunzi vilivyo katika mitihani iliyo mbele yake.


Hitimisho: hakikisha mwanafunzi anafanya maswali mengi ya past papers za Kiswahili na masomo mengine ya Darasa la saba ili uweze kumwaandaa vyema kwa mitihani ya Darasa la saba ili aweze kufanya vizuri na kufaulu vyema. Mtandao huu wa  faulunasi.com tinakuhakikishia ufaulu wa mwanao(mwanafunzi) pindi unaooanza kutumia huduma zetu

No comments:

Post a Comment