![]() |
Matokeo ya Darasa la saba |
Baraza la Mitihani la Tanzania linatarajia kutangaza matokeo ya Kumaliza Elimu ya Msingi 2022 leo tarehe 1/12/2022. Matangazo hayo yatarushwa mubashara ( live) kupitia youtube channel ya nectaoline tv.
Bofya >HAPA>> kuangalia matokeo