Wapo wataalamu wanaodai kuwa kiswahili ni kiarabu. wataalamu hawa wanatiwa nguvu na hoja kuwa kiswahili kinayo maneno mengi kutoka katika lughas ya kiarabu. Pia kwakuwa kiswahili kilienea zaidi pwani kwanza na baadaye kuja bara basi hoja yao inazidi ushawishi kwakuwa wenyeji wengi wa pwani ya Afrika mashariki. hata hivyo baadhi ya wataalamu wanasema kuwa neno lenyewe kiswahili ni la kiarabu linalotokan na neno sahil lenye maana ya pwani. Je kiswahili ni kiarabu? toa maoni yako