TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
STASHAHADA YA ELIMU YA WATU WAZIMA NA MAFUNZO ENDELEVU KWA MASAFA
KIT 06208: MISINGI YA UCHAMBUZI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI
MASWALI YA PROJEKTI OKTOBA 2019
JIBU SWALI MOJA TU
Fafanua vipengele vya fani na maudhui katika tamthiliya moja uliyosoma katika kozi (KIT 06208).
Chambua vipengele vya kimaudhui vilivyoyojitokeza katika riwaya mbili ulizosoma.
Ainisha na fafanua vipengele mbalimbali vya fani na mahudhui vinavyojitokeza katika fungate ya Uhuru.