
Mchekeshaji Ebitoke ameuvamia mkutano wa Mwigizaji Yusuph Mlela na Waandishi wa Habari Dar es salaam na kutaka kupigana na Mlela na Mpenzi wake mpya ambae alikua ameongozana nae kwenye mkutano huo na Waandishi wa Habari ikiwa ni siku chache tu toka Mlela adaiwe kumuacha Ebi, tazama hii video hapa chini imenasa tukio lote mpaka walipotoka nje
Video credit: AyoTv