Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu-HESLB imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao kwa mwaka 2019/2020..
Taarifa hiyo imewataka wanafunzi kuingia katika Akaunti zao na kisha kufanya marekebisho.
Mwisho wa kufanya marekebisho hayo ni October 15.