Friday

JINSI YA KUTAMBUA VIPODOZI VYENYE VIAMBATA VYA SUMU

0 comments


Chukua kipodozi chako angalia kwenye lebo na tafuta sehemu iliyoandikwa INGRIDIENTS au CONTENTS, soma kemikali zilizoandikwa hapo zipo kemikali nyingi hatarishi mara nyingi huwa Hyoquinone ambayo huandikwa (Hydoq.2%) na mercury. (Viambata vingine Nimebianisha kwenye post hii) Vipodozi hivyo vinaweza kuwa losheni, pafyumu, poda au spray za mwili.

VIAMBATA VINGINE VILIVYOPIGWA MARUFUKU KATIKA VIPODOZI
1. Bithionol
2. Hexachlorophene
3. Mercury compounds
4. Vinyl chloride
5. Zirconium – containing complexes in aerosol products
6. Halogenated salicylanilides (di-, tri- metabromsalan and tetrachlorosalicynilide)
7. Chloroquinone and its derivatives
8. Steroids in any proportions
9. Chloroform
10. Chlofluorocarbon propellants (fully halogenated chlorofluoroalkanes) in cosmetic aerosol products
11. Methyelene chloride

No comments:

Post a Comment