Kishazi kwa mujibu Wa Masshele chapisho la mkondoni 2016, kishazi ni tungo yenye vitenzi ndani yake na vitenzi hivyo huweza kutolewa katika tungo kuu yani sentensi na kuleta au kutokuleta maana kamili.
Katika kiswahili kunamakundi mawili ya vishazi , vishazi Huru, na vishazi tegemezi.
Vishazi guru huweza kusimama pekeyake na kuwa na hadhi ya sentensi sahili lakini vishazi tegemezi haviwezi kujitegemea.
Mambo yanayo sababisha utegemezi Wa vishazi tegemezi.
1. Uunganishaji, huu ni mchakato Wa kuunganisha sentensi mbili kwa pamoja mfano , 1. mtoto amepotea 2. Mtoto amepatikana = Mtoto aliyepotea amepatikana
2. Upachikaji Wa virejeshi mfano -vyo -po -ye
Mfano mbuzi aliyepotea amepatikana
3. Upachikaji Wa viambishi vya masharti mfano -ngali -ngeli -ki
Mfano angali wahi mapema angalimkuta hapa kabla hajaondoka.
4.kuambatana kwa vitenzi viwili kimoja hushushwa hadhi na kubwa kitenzi kisaidizi mfano ,
Aliyempiga amevunjika goti.
Soma machapisho mengine kama massamba 2004