Monday

NYOSO HAJAACHA UJINGA AMEFANYA TUKIO HILI LEO BAADA YA TIMU YAKE KUPOTEZA 2-0

0 comments
Juma Nyoso akiwa chini ya Ulinzi wa polisi

Baada ya pambano kati ya Kagera Sugar na Simba kumalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabai 2-0, beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso amemshambulia shabiki na kumpiga hadi kuzimia. 

Nyoso anashikiliwa na Polisi huku shabiki huyo akipatiwa matibabu hospitali



Shabiki aliyepigwa akipatiwa huduma ya kwanza