Mfanyabiashara Mohamed Dewji 'MO' ambaye Disemba 5 mwaka huu alitangazwa kushinda zabuni ya kumiliki hisa ndani ya klabu ya Simba SC amemuomba Kocha Joseph Marius Omog kujiuzulu.kutokana na mwenendo mbaya Wa timu huyo
MO Dewji ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kumuomba Kocha huyo Raia wa Cameroon kuachia ngazi kutokana na matokeo ya mchezo wa raundi ya pili ya michuano ya Azam Sports Federation Cup.
-Kwa kuwa bado sina mamlaka ya maamuzi kwenye klabu ya Simba, kama mwanachama na mshabiki wa Simba, namuomba Joseph Omog kwa heshima na taadhima ajiuzulu,"tweet yake ilisomeka.
Kipigo cha Green Warriors.
Simba walifungwa kwa penati 3-4 na timu ya ligi daraja la pili maafande wa Green Warriors baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
Kama kocha huyo ambaye alijiunga na Simba Julai 1, 2816 ataondoka klabuni hapo atakuwa na rekodi ya kuipatia timu hiyo taji la Kombe la Shirikisho Tanzania Bara na kuisaidia kushiriki Kwa mara ya kwanza kwenye michuano ya kimataifa tangu mwaka 2013.
Lakini pia kocha Omog ataondoka akiwa na rekodi ya kutofungwa na watani zao Dar Young Africans katika michezo yote mitano ambayo wamekutana, wakishinda mchezo mmoja na kutoka Sare michezo Minne Ila miwili kati ya hiyo Simba walishinda kwa penati.Asante kwakusoma masshele blog