Thursday

LIVE: KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MIILI YA MASHUJAA WETUKUTOKA JWTZ WALIOUAWA DRC

0 comments


Muda huu kupitia MASSHELE BLOG  unaweza kuangalia kuagwa kwa Miili  14 ya Wanajeshi wa JWTZ waliopoteza maisha nchini DRC wakiwa katika majukumu ya kulinda Amani na Majeshi ya Umoja wa Mataifa.
Kutazama bonyeza PLAY kwenye video hii haa chini