Usafi wa uso ni moja ya mambo muhimu sana kwa mwanamke au mwanaume yeyote yule ambaye anapenda kuwa nadhifu na mwenye mvuto. Kumbuka “rece...
Showing posts with label Chaurembo. Show all posts
Showing posts with label Chaurembo. Show all posts
Sunday
Tuesday
Matumizi ya ndizi katika urembo
Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi. Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia ...
Saturday
Mambo 8 mwanamke anapaswa kufanya kabla ya kufunga ndoa
Kufanya mambo haya kutakupatia maarifa na kukufanya uwe na uwezo wa kufanya uamuzi bora zaidi maishani. Ni jukumu lako kama binti asiye ...
Sunday
Zijue mascara na namna ya kupaka
Unapochagua mascara kuna mambo muhimu ya kuzingatia kulingana na lengo lako unalotaka kutimiza. Unatakiwa kujua unataka kope zionekane nde...
Thursday
Njia bora na asili ya kukuza nywele zako pasipo na gharama kubwa
Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiri...
Friday
MAUMIVU WAKATI WA HEDHI (DYSMENORRHEA)
Menstrual cramps ni maumivu ya kukakamaa kwa misuli ya eneo la chini ya tumbo. Wanawake wengi hupata maumivu haya kabla kidogo au ...
Sunday
MAAJABU YA ASALI KATIKA UREMBO WAKO
Utashangaa sana kwamba asali ndiyo hasa kitu kitamu ambacho kwa miaka mingi watu wamekuwa wakikifananisha na raha. Hii inatokana na u...
Jinsi ya kuifanya ngozi yako kuwa nzuri kwakutumia vitu vya asili
Uzuri wa ngozi sio rangi tu bali ni muonekano wa ngozi yenyewe kwamba ina afya na mng'ao unaoashiria afya njema. Leo tushirikishane...
ASALI KWA UREMBO WA SURA NA NYWELE
Tumia Asali katika Urembo wa Nywele na Ngozi yako Asali hutumika kulainisha Ngozi Asali ina asili ya kuvuta unyevu kutoka kwenye hewa n...
Subscribe to:
Posts (Atom)