Klabu ya Azam FC imetangaza kukamilisha usajili wa mshambuliaji, Franklin Navarro (24) kutoka kwa vigogo wa Colombia. Navarro anakuwa Mcolombia wa kwanza kucheza kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara.
Created By OmTemplates | Distributed By Blogger Template