![]() |
MATOKEO YA DARASA LA SABA (7) 2023 |
Matokeo ya Darasa la (7) Saba kwa Mwaka 2023 yatatangazwa Leo na katibu wa Baraza la mitihani Tanzania necta kuanzia majira ya saa 5 asubuhi ya leo November 23/2023.
Matokeo hayo ya Darasa la 7 yatakuwa hapa kuanzia majira ya saa 5 asubuhi pia unaweza kuangalia matokeo hayo ya Darasa la 7 ,2023 katika tovuti ya Baraza la mitihani necta Tanzania kuanzia majira ya saa 5. Na nusu ili kuona matokeo hayo ya kuhitimu elimu ya msingi Tanzania.
Bofya >HAPA> kufungua matokeo ya Darasa la saba 2023
Matokeo hayo ya Darasa la saba kwa Mwaka 2023 yanatokana na mitihani ya kuhitimu darasa la 7 ambayo ilifanyika miezi miwili iliyopita ambapo WANAFUNZI watakaofaulu mtihani huo wataingia kidato Cha kwanza jaruary 2024
Je unahitaji kuona matokeo yote ya Darasa la 7 kwa WANAFUNZI walio fanya mtihani 2023 usikae mbali na tovuti hii tutaweka punde yatakapotangazwa na Baraza la mitihani Necta ambalo ndilo yenye dhamana ya kutangaza matokeo hayo