Monday

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI

0 comments

 


💥FURSA ZA AJIRA!


Wanatakiwa vijana wa Kitanzania, waishio jijini Dar es Salaam, waliosomea Information Technology (IT) kwa ajili ya kufanya kazi kwenye kampuni ya taksi mtandaoni.


Vigezo ni kuwa na elimu ya IT (Kiwango Chochote) na kuishi jijini Dar es Salaam.


Waliowahi kufanya kazi kwenye kampuni yoyote ya taksi mtandaoni, watapewa kipaumbele.


Kutuma maombi, bofya link https://forms.gle/x1Bmt6SsNaLYHb7w8  kisha bofya kujaza taarifa zako.


Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kwa namba zilizopo kwenye tangazo.

No comments:

Post a Comment