Thursday

KAZI ZA MUDA UDSM: KUITWA KWENYE USAILI

0 comments

 







TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA AJILI YA KAZI YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA 46 YA SABASABA 2022.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC) anawatangazia waombaji wote waliofanya maombi ya kazi ya muda mfupi kupitia tangazo la awali la kukaribisha maombi kazi ya muda mfupi lililotolewa tarehe 17 Juni 2022 katika tovuti ya (www.ucc.co.tz),kuwa usaili utafanyika kwa njia ya mtandao (Online Test) kupitia tovuti ya https://lms.ucc.co.tz siku ya Ijumaa ya tarehe 24 Juni 2022 kwa kundi namba A, B C, D, E na F. Usaili utakuwa ni wa muda wa dakika arobaini (40) tu.
 

No comments:

Post a Comment