Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>>HAPA>>
Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kitaifa.
Baada ya baraza la mitihani tanzania NECTA, kutangaza matokeo ya kuhitimu kwa darasa la saba kwa mwaka 2021, wengi wamekuwa wakiuliza ni lini hasa wanafunzi waliofaulu watapangiwa shule, Jibu lililopo kwa sasa ni kuwa baada ya baraza la mitihani kutangaza mabadiliko ya utolewaji wa machaguo na kuwa machaguo yakidato cha kwanza yatatolewa pamoja na yale ya kidato cha tano, hivyo kwa darasa la saba kwenda kidato cha kwanza watalazimika kusubiri mpaka matokeo ya kidato cha nne 2021 yatakapotolewa ndipo machaguo hayo yatolewe kwa pamoja na huweza kuwa kati ya kipindi cha mwezi wa 12 mwaka huu