Rais Samia amesema mashtaka dhidi kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe hayajachochewa na siasa
Amesema wenzake ambao alituhumiwa nao tayari wako jela wakitumikia vifungo vyao na yeye alikuwa huru kwa sababu upelelezi dhidi yake ulikuwa haujakamilikaRais amesema Mbowe alikuwa Kenya na aliporudi nchini alitafuta shughuli za kisiasa ili apate kisingizio atakapokamatwa
Tuesday
Rais Samia afunguka kuhusu kesi ya Mbowe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)