Tuesday

MICHEZO NA NGOMA ZA WASUKUMA (Wigusha na liheba na mbina ja Basukuma)

0 comments

 MICHEZO NA NGOMA ZA WASUKUMA (Wigusha na liheba  na mbina ja Basukuma)


Hapa duniani  kila kabila lina  MICHEZO yake ya asili.wasukuma walikuwa na MICHEZO mingi ya asili.Baadhi ya michezo iliyokuwa inachezwa na kabila la wasukuma ni

1-NHEEGA ni mchezo mkubwa sana uliochezwa kati ya kijiji na kijiji 


2-MBINA ni mchezo ulishidanisha makundi mawili kati ya  BHAGALU NA BHAGIKA.


3-ISOLO ni mchezo uliochezwa na watu wazima pamoja na wazee hadi sasa nitaendelea


4-KWIFUKA ni mchezo wa mieleka


5-KWISHIGA ni mchezo wa riadha


6-KUJIHA ni mchezo wa kuongelea


7-KWICHOLA ni mchezo wa kutafutana 


Hizo ni baadhi ya Michezo ya kisukuma.hivyo MBINA KIUAHALISIA sio Tamasha bali ni ushidani wa magroup mawili kati ya BHAGALU NA  BHAGIKA 


MAJINA YA NGOMA YA WASUKUMA (mina ga mbina ja basukuma)


1-Kadigi ni ngoma ya zamani sana katika history ya wasukuma


2-Lilinda ni ngoma ya watemi iliitishwa na watemi tena mara moja kwa mwaka ilikuwa inachezwa MALYA


3-Bucheye ni ngoma iliazishwa na wachungaji wa  ng'ombe.walipokuwa wanatoka kuchunga na wakiwa wameua mnyama

4-wigashe

5-Banungule

6-Bayeye

7-Pajanga

8-Manyule

9-Ndono

10-Kadete

11-Bagobogobo

12-Bulubuka

13-Pondekeja

14-Bubilingi

15-Bakomyalume

16-Sogota

17-N'handala na

18-Ben

NGOMA INAYOCHEZWA SIMIYU  (Iding'ha)


Kama kunakitu wachopenda wasukuma wa ukanda wa NTUZU  basi ni ngoma mfano

5-6-05 kila mwaka ktk kijiji cha kindwabiye


25-26-05 inachezwa tena Nkololo

30-05 Bariadi 


Nimeeleza hapo juu kwa ufupi kuhusu Ngoma za wasukuma hasa hii Mbina. 


Hoja yangu hapa nikuwaelewesha wale wote wanataka kupotosha kuhusu mbina  ni waombe wote wale ambao mnaita majina ya ajabu. 


Nimesikitishwa sana kuitwa kongamano la mbina la wanawake mara TAMASHA MARA WALSHA. HII NI KUPOTOSHA NA KULETA MAANA NYINGINE KABISA.HIVYO NIWAOMBE WABUNGE WA VITI MAALUM MLIOTUMIA MANENO HAYO MYAONDOE KWENYE CRIP ZENU HIZO KAMA HUJUI MAANA YA MBINA KAA KIMYA.


HABARI YA MC KWENYE MBINA HAKUNA MC ILA KUNA MAMAJU KAMA NAYEYE ANATAKA HUO MPUNGA WA MH MBUNGE AANZE KAZI YA UMAJU


PILI WATU WASITUMIE MGOGO WA MBUGE KUJINUFAISHA KAMA HUYO MC ANAYETUTAGAZIA AMEANDAA MBINA KUMBE  NI MBUNGE.  KAMA NAYEYE ANATAKA UBUNGE WA VITI MAALUM APIGE KAZI  NAMSHUKRU KATIBU WA MBUNGE KWA KULIWEKA SAWA.  PILI ASIINGILIE MILA ZA  WATU 


NIKIPATA MUDA NITAENDELEA KUWAPATIA ASILI  NA CHIMBUKO LA MBINA



Na  MTEMI MOGA

No comments:

Post a Comment