Mambo ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya, Zarinah Hassan ‘Zari The Lady’, kutua nchini leo Juni 1, 2021 na kupokelewa na Mama mzaa chema wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika kutoka nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Mama Dangote’ na mume wake, Uncle Shante Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere la terminal 3 wakiambatana na Juma Lukole.