Bodi ya Ligi nchini imesema suala la mechi ya watani wa jadi kuahirishwa litajadiliwa leo Mei 10, 2021, kwenye Kamati ya Saa 72. Bodi pia imesema ilipokea maelekezo ya kubadili muda wa mechi kutoka TFF saa 7:00 mchana, ndipo ikavijulisha vilabu husika.