Thursday

Uundaji Wa maneno

0 comments

Lugha sikuzote hukua na hivyo kuhitaji maneno mapya ili kukidhi haja ya watumiaji wa lugha hiyo. Hivyo sababu kuu za uundaji wa maneno katika lugha ni kukidhi haja ya mawasiliano, kueleza dhana Mpya zinazojitokeza katika Jamii na kukuza lugha.

Njia za kuunda maneno ni hizi zifuatazo

- Unyambuaji , mf , soma, somewa, someka.
-kukopa kutoka katika lugha nyingine, mfano Chai, kuto kichina.
-Kuunda Akronimu UKIMWI,

-Uhulutishaji,  Tataki

No comments:

Post a Comment