Thursday

UDSM WAINGIZA FILAMU TATU KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA SINEMA ZETU

0 comments

Kikundi cha uigizaji Wa filamu kinacho undwa na Baadhi ya wanafunzi kutoka UDSM /DUCE, wamefanikiwa kuingiza idadi ya filamu tatu kuwania vipengele mbalimbali kutoka Tuzo za sinema zetu zinazo dhaminiwa na Azam Media.

Akiongea kwa njia ya simu msemaji Wa kikundi hicho ameuambia mtandao huu kuwa filamu zilizotinga katika kinyang'anyiro hicho ni filamu ya

COLETHA

CHANZO NI WEWE 
NA ARDHI  YA DAMU

Aidha kupitia kwa idara ya
 Waziri wizara ya  Habari, Mahusiano na mambo ya nje DARUSO/DUCE chini ya waziri  ndugu
     JULIUS BENJAMINI
Kikundi hicho cha filamu kimeomba wadau wote, na wanafunzi wote kuwapigia kura ili waweze kuibuka kidedea na hivyo kuineemesha tasnia ya filamu na kuzidi kukipaisha chuo hicho katika idara za Sanaa
Ndug Emmanuel Maasa akiwa kavalia maleba ya jadi (mavazi ya uigizaji)



UTARATIBU WA KUPIGA KURA UTAKUWA KAMA IFUATAVYO

*TAFADHALI TUNAOMBA SUPPORT YENU KUPIGIA KURA MOVIE ZILIZOINGIA KATIKA MASHINDANO YA TUZO ZA AZAM SIMEMA ZETU (SZIFF)  ZILICHEZWA NA BAADHI YA  WANACHUO WA UDSM


Movie hizo ni  1.CHANZO NI WEWE

*code namba 360*7*



       2.ARDHI YA DAMI.

 *Code namba 760*9*


   3.CORETHA.      *Code namba 1000*8*

KUZIPIGIA KURA MOVIE HIZO ANDIKA BM au BF IKIFUATIWA  CODE HAPO JUU  KISHA TUMA KWA SMS KWENDA NAMBA  *0683520006*
kwa mfano
 BM 1000*8 (sms ya kwanza)
 BF 1000*8  (Sms ya pili)
 BM 760*9.   (Sms ya tatu
 BF 760* 9.    (Sms ya nne)
 BF 360*7.   ( sms ya tano)
 BM 360*7. ( sms ya sita)

*Tafadhali tunaomba mpige kura kwa wingi kadri uwezavyo.. Piga hata mara mia kwa siku ili kuwasupport ndugu zetu WanaUDSM/DUCE. Mwisho wa zoezi hili ni january 31 mwaka huu*

Filamu zote zinapatikana katika mtandao Wa YouTube kwa kutafuta jina la filamu husika.

SHARE NA WENGINE

No comments:

Post a Comment