Monday

BREAKING NEWS: SIMBA YASHUSHA VIFAA VIWILI KUTOKA AFRIKA MAGHARIBI

0 comments









Wachezaji wawili wapya wa klabu ya Simba wameanza mazoezi leo.

Wachezaji hao wawili mmoja ni beki na mwingine ni mshambuliaji. Imeelezwa wachezaji hao wapya mmoja ni raia wa Ghana na mwingine imeelezwa ni raia wa Togo.


Simba inaonekana kuamua kuongeza nguvu katika kikosi chake kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwa wamecheza mechi mbili. Moja wameshinda na nyingine kufungwa.

Wachezaji hao wameanza mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani leo.

No comments:

Post a Comment