Wengi wetu tumefanikiwa kuliona Tangazo jipya la Kampuni ya siagi inayofahamika kama BLUE BAND kwenye chanel mbali mbali za TV.Katika Tangazo hilo linaelezea kua BLUE BAND mpya ina Viambata vya OMEGA 3 NA OMEGA 6.Bila shaka watu wengi wamekuwa wakijiuliza Omega 3 ni nini na Omega 6 ni nini,Bila shaka na wewe unayeisoma makala hii ni mmojawapo wa watu wanaojiuliza viambata hivi ni nini.
Basi leo nitakuelezea kwa undan nini maana ya viambata hivi na vina umuhimu gani katika afya yako.
OMEGA 3 NA OMEGA 6 NI NINI?
Omega 3
Hizi ni aina ya Fats(Mafuta) ambazo mwili hauwezi kujitengenezea bali mwili unategemea aina hii ya virutubisho kutoka katika vyakula. Virutubisho hivi vinasaidia utendaji kazi wa Cells zote za mwili,Virutubisho hivi vinasaidia kutengeneza Hormones ambazo zinasaidia kuganda kwa damu pindi unapopata majeraha,Zinasaidia kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu hivyo kusaidia kuimarisha mzunguko wa damu.
Omega 3 pia inasaidia kuukinga mwili na matatizo ya moyo(heart attack) na Kiharusi(stroke),Pia inasaidia kutuliza matatizo ya aleji za mwili kama Pumu ya ngozi(eczema) na matatizo ya Joints.
Vyakula vingine ambavyo vinaweza kuupatia mwili aina hii ya virutubisho ni kama Samaki na vyakula vingine vya baharini,Soya beans na Spinach
Omega 6
pia ni aina ya Fats muhimu sana katika mwili ambayo inafanya kazi kubwa ya kusababisha ukuaji wa cell za mwili na ni muhimu kwa ukuajia na utendaji kazi wa ubongo na misuli.Pia inasaidia kuimarisha mishipa za fahamu(nerves) hivyo ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha mfumo wa neva na mawasiliano katika mwili.
Omega 6 pia inapatikana kwenye nyama ya kuku,mayai, na nafaka kama mahindi na mchele,alizeti,maboga,mafuta ya kupikia ya pamba,na zabibu.
MBALI NA OMEGA 3 NA 6,BLUE BAND MPYA ina vitubisho vingine zaidi ambavyo ni muhimu katika kuimarisha afya yako.Vifuatavyo ni aina ya virubisho utakavyopata ndani ya Blue Band mpya
Vitamin A
Symptoms of severe deficiency are night blindness, dry eyes, diarrhoea and skin problems.
Hi ni vitamini muhimu sana katika ukuaji na uimara wa mifupa,kuzaliana na nguvu za kiume pia kuimarisha kinga ya mwili.Pia ni vitamini nzuri kwenye macho kwa sababu inaimarisha macho na kukufanya kuona vizuri na kukukinga na matatizo ya macho.
Vitamin B1
Hii usaidia kuvunjavunja Wanga(Carbohydrates) kuwa sukari pia inaimarisha mfumo wa neva na kuukinga mwili na maradhi ya beri beri na kuzuia tatizo la mgongo wazi kwa watoto.Pia usaidia kuwakinga watoto na matatizo ya moyo.

tatizo la mgongo wazi kwa watoto.
Vitamin B2
Hii husaidia kuifanya ngozi yako kua yenye afya na kuzuia tatizo la chunusi
Vitamin B12
Hii husaidia katika utengenezaji wa chembechembe hai nyekundu za damu.
Vitamin E
Hii pia husaidia kuimarisha afya ya ngozi na kuimarisha kinga ya mwili.