Monday

UDSM NEWS, KAMA UCHAGUZI WA URAISI DARUSO UNGEFANYIKA LEO HUYU NDIYE MSHINDI

0 comments
kuelekea uchaguzi wa uraisi Daruso kampeni zimeendelea kushika kasi huku kila mgombea akiomba kura na kunadi sera zake.
Katika online survey iliyofanyika kwa takribani saa 13 , ikiwa naswali lililo uliza ikiwa uchaguzi nileo nani angepata kura yako? 
Asilimia 40% Walitiki kwa MATULANYA

Asilimia  26%  kwa  FRANCK ISACK

na asilimia 34%  walitiki kwa Frank Haroun
Kama inavyo onekana katika chart 


Aidha data hizi hazina dhumuni la kushusha umaarufu wa kisiasa wa mgombea yeyote yule bali zinaweza kutumika kama changamoto.  
Shukrani za pekee kwa geopol Tanzania