Tuesday

VIKAO VYA BUNGE KUANZA APRILI 03/2018

0 comments
1
Mkutano wa 11 wa Bunge unatarajiwa kuanza kesho Aprili 3 na kumalizika Juni 29, 2018 Mjini Dodoma.

Kutakuwa na kiapo cha Uaminifu kwa Wabunge wapya wawili, Dkt. Godwin Mollel(Siha) na Maulid Mtulia(Kinondoni).

HII NI TAARIFA KAMILI HAPA CHINI.
2

3