![]() |
Akaunti ya mtoto Anthony Petro Magogwa.
Jina la Account:
Petro, Niyosaba and Paphilius
A/C Na. 01523 46697000
CRDB
Jina la kwanza ni la baba wa mtoto
Jina la pili ni la Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya
Jina la tatu ni la Paroko wao
Imefanyika hivyo ili kudhibiti matumizi ya fedha kwa kuwa watoto bado ni wadogo.
|
![]() |
Mtoto Anthony Petro aliyetangulia akiwa na Baba Yake Mzazi, Mzee Petro Magogwa walipowasili Ofisi za Radio Kwizera mjini Ngara.
Pamoja na Familia hiyo kutoa shukrani kwa wanaojitokeza kuwasaidia ,Afisa Ustawi wa Jamii wilayani Ngara mkoani Kagera Bw. Musa Balagondoza wakati akitoa ufafanuzi wa namna ya kumsaidia Mtoto Anthonykupitia kipindi cha Mchakato hapa Redio Kwizera ametoa wito kwa Watu wote walioko ndani na nje ya wilaya ya Ngara kufuata utaratibu wa kupita ofisi ya Ustawi wa Jamii ama Ofisi ya Mkurugenzi kabla ya kuifikia Familia ya Mzee Petro Magogwa.
|
![]() |
Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya Watumishi wa Kituo cha Radio Kwizera ,Ngara wakimpokea Mtoto Anthony na Baba yake Mzee Petro Magogwa walipokuja kuzungumza na wasikilizaji wa Kituo hicho kupitia kipindi cha mchakato cha radio kwizera.
|