Wednesday

BREAKING: ALIYEKUWA MPINZANI MKUU WA MUGHABE , MORGAN Tsvangirai AMEFARIKI DUNIA

0 comments




Taarifa inayoshika headlines nchiniZimbabwe na Afrika Kusini muda huu ni kuhusu Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangiraiamefariki akiwa anapatiwa matibabu nchi Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 65, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Utumbo kwa zaidi ya miaka miwili.
Hali ya afya Morgan ilizidi kuwa mbaya hadi siku za hivi karibuni licha ya matibabu aliyokuwa anapatiwa nchini Afrika Kusini.
Kifo cha Morgan kitakuwa pigo kubwa kwa upinzani nchini Zimbabwe.