Tokea kuumbwa kwa dunia, kidini na kihistoria, mwanamke amevunja rekodi kuwa kiumbe dhaifu na rahisi zaidi hasa katika nyanja ya usaliti, mtoto wa kiume uzaliwapo na ukafikisha umri wa barehe jambo na usia mkuu uambiwao na baba yako au kusikia tokea kwa wazee ni moja na linatiliwa sana mkazo "Usimwamini mwanamke".
japo usemi kama huo hutokana na imani ya mtu husikia hii ni kutokana na mtu huyo alivyowahi kufanyiwa na mwanamke katika siku zake nyuma. Na kwa namna nyingine hatuwezi kusema kwa asilimia zote kwamba wanawake eti hawafai, tukisema hivyo tutakuwa tunakosea kwasababu wao ndio ambao wametuletea katika dunia hii.
Lakini tukija katika Makala haya tutangalia sababu za mwanamke katika suala la kumsaliti mpenzi wake.
1. Wanawake huwa na mazoea ya kumzoea mtu kwa haraka zaidi. Ni rahisi sana kwa mwanamke kutengeneza uhusiano wa kihisia na mtu mwingine kwa haraka, hii inawafanya kuwa rahisi kumzoea mwanaume na kudhania hayo mazoea aliyoyaanzisha ni mapenzi na mwisho wa siku mwanamke huyo hutokema ghafla.
2. Wanauwezo wa kupenda Mwanaume yoyote anaowaonyesha kuwajali na kuwapa msaada wa kihisia. Ni kweli, kama unataka umuibe mpenzi wa mtu muonyeshe kumjali na kumpa msaada wa kihisia, akiwa na siku mbaya jaribu kuitengeneza iwe nzuri na mpe misaada midogo midogo naye atakupa kitanda cha kulalia.
3. Wanawake hupendelea kuendeleza kizazi. Kibaiolojia wameumbwa hivyo kuwa na hitajio la kuendeleza kizazi hivyo hujikuta wanaangalia wanaume wengine wenye sifa nzuri zaidi ya kutayarisha kizazi kijacho.
4. Wanawake huanguka kimapenzi kwa urahisi zaidi. Huangukia kwenye mapenzi kwa uharaka zaidi kwa yule ambaye atawaonyesha hisia za kuwataka, wanaweza kuwa wanapenda kucheza michezo ya kukuzungusha ila mwisho wa siku hujikuta wanahisia flani juu yako iwapo ukiwa king'ang'anizi na mbwembwe za kimahaba, huku ukionyesha unaupendo wa dhati.
5. Wanawake huwa ni wageuzi wa mambo. wanapenda wakiwa na mwanaume wambadili kwa jinsi wamtakavyo wao, wakisha mbadili wanaboreka na kuanza kutafuta mwingine, kwahio siku zote msichana asikubadilishe anavyokutaka yeye, akikubadilisha tu anaboreka, unakuwa haumpi akshi tena ya kukuona angavu kama awali na wewe na kutafuta mgumu mwingine wa kumfanyia mabadiliko, hakikisha asikuelewe na mshitukize kwa mambo ya hapa na pale kumpoteza zaidi.
6. Wanawake wanapenda michezo ya kuigiza na umbea. Wanawake wanaboreka kirahisi sana na huitaji uwape kipaumbele muda wote, mwanaume anapoanza kumpenda kupitiliza, yeye ndo anaanza kutokua na hamu tena ya hayo mapenzi, ndo maana waswahili husema "usimuonyeshe mwanamke kama unampenda".
7. Hawajielewi ni kipi hisia zao zinataka, na huwa hivi mara nyingi. Msichana anaweza kuwa anampenda mwanaume ila mabadiliko ya hisia zao kama kupwa na kupwaa kwa bahari akawa kama saa nyingine anampenda na muda mwingine akawa kama hana shida naye na kumponda, kwa hio ukiongeza mwanaume mwingine kwenye hio hadithi nadhani utakuwa unapata picha.
8. Wanawake wanapenda kusifiwa na kuonyeshwa kupendwa. Wanawake hujisahau wakianza kusifiwa na kutongozwa kwa kuguswa. Mwanaume akianza kumtongoza mwanzo huhisia labda anamtania ila kwa uhalisia inawezekana akawa anaangukia kimapenzi kwa jamaa hata kama jamaa anatania.
Ni rahisi sana kumfanya msichana awe na mashaka na mpenzi wake. Jamaa mwingine anachotakiwa kukifanya ni kumuonyesha mapungufu ya mpenzi wake, kuongea vizuri, kumshika sehemu chache, na hapo kutamfanya msichana aanze kufikilia mpenzi wake si lolote si chochote, na huyu jamaa alienae ni mungu wa mapenzi na anampenda kufa na kupona.