Wednesday

MAKALA MAALUMU: Kiswahili Kina Wenyewe

0 comments

Moderator Mohammed Khelef - 3. DSC00515 - Mohammed Khelef of DW Kiswahili moderating a radio discussion for Kiswahili program



Karibu kwenye safu hii ambayo huwaalika wataalamu wa lugha ya Kiswahili kuchambua masuala mbalimbali kuhusu sarufi, fasihi na matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa lengo la kuihuisha lugha hii adhimu.
Moderator Mohammed Khelef - 3. DSC00515 - Mohammed Khelef of DW Kiswahili moderating a radio discussion for Kiswahili program
Miongoni mwa masuala muhimu utakayoyakuta humu ni pamoja na chimbuko na asili ya lugha ya Kiswahili, utata baina ya ukuzaji na uharibifu wa lugha, nafasi ya teknolojia ya kisasa kwenye fasihi na uhakiki wa kazi za waandishi wa Kiswahili.

MaDA MOTOMOTO INAPENDEKEZA

Bofya mada unayotaka kuisoma au kuisikiliza.

SAUTI NA VIDIO KUHUSU MADA BOFYA MADA YOYOTE NA UPAKUE MP3 KATIKA KISANIDI CHAKO, PIA ASANTE KWAKUTEMBELEA MASSHELE BLOG KARIBU TENA