Tuesday

+VIDEO JENGO LA TANESCO UBUNGO LILIVYOPIGWA X BAADA YA AGIZO LA RAIS MAGUFULI

0 comments

Juzi President John Pombe Magufulialitembelea na kufanya ukaguzi kwenye eneo la Ubungo ambako kutajengwa barabara za juu kurahisisha magari kupita bila kupanga foleni ambapo aliagiza sehemu ya jengo la TANESCO na Idara ya maji zibomolewe kupisha ujenzi huo.
Taarifa ni kwamba sehemu hizo zilishapigwa X ambapo unaweza kujionea zaidi kwenye hii video fupi hapa chini kutoka upande wa TANESCO Ubungo.
VIDEO: kwahisani ya ayo tv