Moja ya habari kubwa kutokea Bungeni Dodoma leo November 17, 2017 ni pamoja na kauli ya Serikali kuhusu kubadilisha utaratibu kwa Wapangaji wa nyumba kutotakiwa kulipa kodi za muda mrefu kama miezi sita au mwaka.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula alitolea ufafanuzi baada ya kuulizwa swali na Mbunge wa viti maalum CCMHalima Bulembo aliyehoji Serikali ni lini itabadilisha sheria hiyo.
TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUTAZAMA NAIBU WAZIRI AKITANGAZA MPANGO HUO BUNGENI
To a comment yako hapa chini