Hukumu ya miaka miwili aliyopewaMwigizaji Lulu leo imegusa watu mbalimbali ambapo pamoja na kwamba wawili hawa iliwahi kuripotiwa kuwa hawana maelewano mazuri, kilichotokea leo kimemgusa Hamisa Mobetto mpaka kuandika yafuatayo na inaonekana hakuna ugomvi kati yao kwani kwa maelezo haya Lulu ameonekana ni Rafiki wa Mtoto wa Hamisa.
“Ni Mapito Tu aunty ake Fansy 
……. kinachoniuma Zaidi Ni how much
Fantasy amekuzoea
, sisi wote hatupo tayari kwa mabadiliko hayo katika maisha yetu, MUNGU akupe Nguvu na kukusimamia love .

Fantasy amekuzoea
“M/Mungu ampe nguvu mama yako katika kipindi hichi without forgetting mdogo ako Iki ….sijui kama nitaweza kumuona bila kutokwa na machozi .
,
am not ready baby 
