Saturday

BREAKING: Watu wanne wafariki Dunia katika ajali ya gari

0 comments


Magari mawili yamegongana uso kwa uso katika barabara ya Morogoro Iringa maeneo ya Sangasanga na kusababisha vifo vya watu 4 na wengine majeruhi.

Kamanda wa Zimamoto wa Mkoa wa Morogoro amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na zoezi la kuwanasua majeruhi linaendelea