Tuesday

Picha & Video : MBUZI ANAYEFANANA NA BINADAMU AZALIWA MBARALI MBEYA ASUBUHI HII

0 comments



Wakazi wa kijiji cha Igurusi kata ya Igurusi tarafa ya Ilongo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wamepigwa butwaa baada ya mbuzi aliyepo katika kijiji hicho kuzaa mtoto anayefanana na binadamu kama unavyoona kwenye picha.

Tukio hilo limetokea leo Jumanne Oktoba 31,2017 majira ya saa 2 asubuhi, nyumbani kwa mkazi wa kijiji hicho maarufu Mwakasinga.
Muonekano wa mbuzi anayefanana na binadamu - Picha kwahisani ya  John Robert - Malunde1 blog
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI